Spirit Drops | The Word In Season
Revelations Inspired By The Holy Spirit for our daily knowledge growth in the Word of God and Kingdom principles.
By faith we understand that the worlds were framed by the word of God, so that the things which are seen were not made of things which are visible.
Hebrews 11:3
Ibada katika madhabahu ya Moyo
May 28, 2026Yohana 4:23-24 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Mungu ametuumba tumwabudu yeye peke yake kupitia maisha yetu ya kila siku. Kwa ujumla, kuna tafsiri nyingi za […]
Read MoreUzuri wa kushikwa mkono na Mungu.
May 6, 2026Kuna mikono mingi sana inatamani itushike wakati tunapita wakati flani au katika safari flani kwenye maisha. Inaweza kua na nia iliyo nzuri na pia inaweza isiwe na nia nzuri pia katika kukushika mkono. Ila, Mungu akikushika mkono, ni ishara yuko na wewe. Ni kiongozi wa maisha yako, ni ishara ya ulinzi wa Mungu juu yako […]
Read MoreGod’s Time | Wakati wa Mungu
May 6, 2026Chochote unachotamani kuwa nacho katika maisha haya tuliyonayo hapa duniani yamefungwa katika muda hakuna kitu ambacho kipo tu tayari wakati wote. Vyote vipo lakina vitapita kupisha majira ya kingine kuja. Katika chochote unachotamani kukipata lazima ujiulize ni wakati sahihi wa mimi kuwa nacho? Au nina stahili hiki kuwa nacho? na kwanini sina kwa wakati huu? […]
Read MoreUkawaida Huzaa Kupuuza!
March 19, 2026Ukawaida huzaa kupuuza, kupuuza huzaa makufuru, makufuru huzaa laana, laana huzaa mateso, mateso huzaa mauti!!! Warumi 6:23 SUVKwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Read MoreSpiritual Awereness…
March 19, 2026There is no profit if you can access anything in the physical, but you can’t tell what is happening in your spiritual environment. Job 32:6-9 NKJVSo Elihu, the son of Barachel the Buzite, answered and said: “I am young in years, and you are very old; Therefore I was afraid, And dared not declare my opinion to you. I […]
Read MoreArise…..and Go!!!
March 19, 2026God’s vision for you is to go one level above each time. He is interested in the growth and how deep you go with him! Genesis 13:17 NKJVArise, walk in the land through its length and its width, for I give it to you. As God told Ibrahim to go, the land he was supposed […]
Read More