Ukawaida Huzaa Kupuuza!

Ukawaida huzaa kupuuza, kupuuza huzaa makufuru, makufuru huzaa laana, laana huzaa mateso, mateso huzaa mauti!!!

Warumi 6:23 SUV
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *